Je! Mbona uliondoka mpenzi!!!!!

     To my English readers, am so sorry that below is a little poem that is written in Swahili, which is the number one spoken African language in East Africa, I had to write it in a different language from English so as to answer to an inbox I got after sharing the other poem that I had shared on my facebook account from my wordpress blog with the title (you might be gone but not from my heart). If you read that other story, then you should not worry for they are more or less the same.

    I had to put my creativity at test by writing in a different language, this time round, Swahili was my target, to all its speakers, below is a little love poem that tells more of my experience with a heartless woman but one that forgetting was, is and will be so hard even in the years to come.

                                                   Je! Mbona uliondoka mpenzi!!!!!

                                                       Image

Usipoziba ufa, utajenga ukuta na hizo ndio panda shuka za maisha,

, na pia usipomtuza wako haina bundi atakuwa wa mwenzio,

Kwa mara ya kwanza nilipokuona, mwenyewe nilijishangaa,

Moyo kanidunda kwa furaha pia kuniondolea zote karaha,

Toka chini kwenda juu, ikawa kama futi tano nukta tano,

Tabasaamu nililopata kanionyesha yalivyo meupe na laini meno,

Macho kanichanganya kutojua nilipo, kweli yalipendeza muno,

Midimo kweli tamu, yakubusu kwa muda wa msaa kama nane,

Sura ya malaika, kiuno kawa kama cha nambari nane,

Makalio murua hayajamaliziwa kwa vikao vya umbea,

Rangi ya pesa ukipena ile ngiri, kupita kweli kanilemea,

Habari dada? Nzuri kaka! Sauti nyororo kayamaliza maneno kwa wangu mdomo!

Mawazo kunobana, maswali kama naishi ama hili ni ndoto?

Halikuwa ndoto lakini nilikuwa nishaa mpata wa yangu maisha mototo,

Lakini kwani yalipita yale, linalo nisumbua kwa sasa ni je! Mbona uliondoka mpenzi!!!!

                                      ********************************

Kama kweli mapenzi kipofu, uwezo wa kuona sijajaliwa kupata,

Hivyo nilithani kama mapenzi wako mpenzi ulishaa pata,

Kwa yangu maisha ukaja, nyingi furaha kuileta,

Kwa mara nyingi tuu, baridi ilipozidi ukawa yangu sweta,

Mapenzi kunionyesha bila mzaha kuuleta,

Maneno matamu kanipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani,

Ungenipenda milele mpaka ile siku ningetoweka duniani,

Kayatimiza hayo kwa muda mchache alafu kayapa mkono wa buriani,

Bila kunieleza kitu ambacho uliisi ungeepa kwangu mpenzi,

Ndio nikabaki kuelewa hao ni marafiki wanafiki wasio lipenda letu penzi,

Kwa kukosa uakika, nilibaki maswali mengi nikijiuliza,

Lakini pia mawaidha sikuwahi kuyakosa, ndipo ya kulinde uendapo,

Mpenzi ulipo kumbuka wanaopenda wachache, wengi wanatamani,

Wanaotamani mapenzi yao mafupi kwani watoka vya kitandani,

Ukishawapa watapotea, hivyo jiadhari mpenzi, na kila siku kumbuka:

Nilipo kwa sasa najiuliza? Je! Mbona uliondoka mpenzi!!!!

Natamani sana kwamba ungalirude mpenzi!! Jo tena mpenzi!!

                                                 ***********

     Baada ya utinzi huu, na kuang’a kwaheri mpenzi na kukupa neon la mwisho ambalo ni; sitowahi tena tamani mapenzi ya kidhuluma.

                                                                         By: Kobia Koome.

Advertisements

2 thoughts on “Je! Mbona uliondoka mpenzi!!!!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s